|
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea mbele ya wadau
mbalimbali wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa mpango mkakati
wa miaka 3 wa Taasisi ya Taaluma ya afya ya jamii Afrika leo jijini Dar es
salaam.
|
|
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wa pili kushoto akikata utepe
kuashiria kuzindua rasmi mpango mkakati wa miaka 3 wa Taasisi ya Taaluma ya
afya ya jamii Afrika wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo jijini Dar es
salaam.
|
|
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wa tatu kushoto akionesha kitabu
cha mpango mkakati wa miaka 3 wa Taasisi ya Taaluma ya afya ya jamii Afrika
pamoja na Mwasisi wa Taasisi hiyo Dkt. Mary Sando wa kwanza kushoto wakati wa
uzinduzi wa mpango huo leo jijini Dar es salaam.
|
|
Mwasisi wa Taasisi ya Taaluma ya afya ya jamii Afrika Dkt. Mary Sando leo akiongea mbele ya wadau
mbalimbali wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa mpango mkakati
wa miaka 3 wa Taasisi hiyo leo jijini Dar es salaam.
NA WAMJW-DAR ES SALAAM
|
Dhima ya Taasisi ya Taaluma ya afya ya jamii Afrika (AAPH) ni
kushirikiana na Seikali na wadau wengine
wa afya kufanya tafiti mbalimbali zinazohusu afya ya mama na mtoto,masuala ya
afya na lishe,magonjwa yasioambukizwa na yale yanayoambukiza.
0 on: "UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA 3 WA TAASISI YA TAALUMA YA AFYA YA JAMII AFRIKA KATIKA PICHA ."