Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya.
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA,
WAZEE NA WATOTO
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto -Idara Kuu Afya anawajulisha wafuatao kuripoti
kazini Makao Makuu ya Wizara Mjini Dodoma ndani ya siku 14 wakiwa na vyeti halisi
vya elimu ya Sekondari, Taaluma,usajili
wa Baraza/Bodi ya kitaaluma,cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala mbili za picha
ndogo (passport)
Imetolewa na :
Katibu Mkuu-Afya
31/1/2018 ORODHA YA MAJINA YA WOAMBAJI WANAOTAKIWA KURIPOTI WIZARA YA AFYA MEANDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO KUKAMILISHA TARATIBU ZA AJIRA | |||||||||||
NA | JINA | CHEO | KITUO CHA KAZI | ||||||||
1 | LILIAN DIDAS LYAKURWA | KATIBU WA AFYA II | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
2 | NKWIMBA NYALALI | AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
3 | MARY MATHIAS OTTARU | AFISA AFYA MAZINGIRA II | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
4 | JACOB R. TARIMO | MUUGUZI | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
5 | SOPHIA ISSA LUCAS | MHUDUMU WA AFYA | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
6 | HAPPY ALEX YOHANES | MHUDUMU WA AFYA | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
7 | MARTHA ADRIANO | MHUDUMU WA AFYA | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
8 | JENIPHER JOSEPH GHULIKU | MTEKNOLOJIA MSAIDIZI MAABARA | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
9 | SURAIYA A. DULE | MHUDUMU WA AFYA | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
10 | NEEMA MWASENGA | MHUDUMU WA AFYA | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
11 | SCHOLASTICA OFAMAN | MHUDUMU WA AFYA | KATIBU MKUU AFYA | ||||||||
12 | BLANDINA VICTOR SHUMA | AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II | KATIBU MKUU AFYA |
0 on: "TANGAZO LA KUITWA KAZINI"