Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumanne, 16 Januari 2018

WAZIRI UMMY AWAAGIZA MSD KUWEKA NEMBO YA GoT KWENYE DAWA ZOTE ZINAZONUNULIWA NA SERIKALI
Pix 1&2
Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisalimiana na wagonjwa na kuuliza changamoto wanazokutana nazo hospitalini hapo wakati wa ziara yake katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwajulia hali wamama waliolazwa na watoto wao katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana wakati wa ziara yake katika Hospitalini hapo ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya leo jijini Dar es salaam

Pix 5 &6
Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijiridhisha na hali ya upatikanaji wa dawa  zilizopo katika stoo ya dawa ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana wakati wa ziara yake Hospitalini hapo ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya leo jijini Dar es salaam.Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akikagua dawa kama ina nembo ya GoT (Government of Tanzania) inayopigwa chapa na Bohari Kuu ya Madawa ( ili kuepuka uchepushwaji wa dawa hizo kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya Serikali wakati wa ziara yake katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya leo jijini Dar es salaam.
PICHA NA WIZARA YA AFYA.


0 on: "WAZIRI UMMY AWAAGIZA MSD KUWEKA NEMBO YA GoT KWENYE DAWA ZOTE ZINAZONUNULIWA NA SERIKALI"