AMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA
WATOTO
TAARIFA
KWA UMMA
TAHADHARI YA MATAPELI
Wizara
ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto inapenda kuutahadharisha
Umma dhidi ya matapeli wanaopita maeneo mbali mbali wakiwaeleza watu kwamba
wanauwezo wa kuwapatia Ajira za Afya, huku wakiwataka kutoa rushwa, kitu
ambacho si kweli na ni kinyume na sheria na taratibu za nchi. Katika watu hao
kuna mtu anayetumia jina la Godfrey
Nyami anaejifanya ni mtumishi wa Idara ya Utawala Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na huchukua fedha kiasi cha
shilingi 100,000/ kwa ahadi ya kuwapatia kazi.
Kama
kuna mtu yoyote anafanya hivyo na unamfahamu tafadhari toa taarifa katika
vyombo vya dola, kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria na hatua kali
zitachukuliwa.
Imetolewa
na ,
Kitengo
cha Mawasiliano Serikalini-Afya
27/11/2017.
geometry dash meltdown boasts an extensive character system with numerous attainable icons in addition to its exciting gameplay.
JibuFutaScammers posing as government officials to demand bribes is a serious crime. Always report such acts to the authorities. Meanwhile, for those looking to enjoy safe Game & App Apk download for Android, visit ApkTuti.com
JibuFutaAsante kwa taarifa hii muhimu. Katika kipindi ambacho matapeli wanazidi kutumia mbinu za kisasa, ni muhimu sana kuwa na tahadhari kama hizi. Nilijaribu kumuuliza DeepSeek kuhusu aina ya utapeli wa kiafya unaotokea mtandaoni, na majibu yake yalifanana sana na yaliyotajwa hapa. Teknolojia inaweza kutusaidia kujilinda, lakini ufahamu kama huu kutoka serikalini ni nguzo muhimu ya kinga.
JibuFutaThis is a serious warning from the Ministry of Health about scammers pretending to offer health jobs in exchange for bribes. Stay alert real opportunities don’t involve illegal payments. For trending soundboard, sound board free, sound buttons, and top meme soundboard picks, explore and download now at SoundBoardW.com!
JibuFutaThis article is a strong reminder to stay alert and informed about fraud, especially when it comes to public health. I often use tools like Chat GPT po polsku to help translate and understand similar warnings from different countries more clearly.
JibuFutaNutzen Sie ChatGPT Deutsch - direkt, anonym und kostenlos mit GPTDeutsch.net. Kein Konto nötig, keine versteckten Kosten. Dank GPT-o3 mini erhalten Sie präzise Antworten im Browser, ohne Software-Installation. Ideal für Lernen, Schreiben und kreative Inspiration - jederzeit und ohne Anmeldung nutzbar.
JibuFutaEnjoy the meme experience like never before with MemeSoundboard. This browser-based soundboard is jam-packed with viral audio and iconic internet sounds. Built for speed and fun, it’s the easiest way to turn sound into laughs without installing anything.
JibuFutaGrâce à une interface fluide, des aperçus instantanés et des téléchargements ultra-rapides, Fondecranvip.com rend la personnalisation de votre écran simple, agréable et sans inscription. Pas de pub intrusive, pas de détour – juste des visuels d’exception, disponibles à tout moment.
JibuFutaGreat share! soundbuttons is a great place for audio fun if you are posting or streaming.
JibuFutaUseful warning about common scams-clear and straight to the point. Reading this feels like one of those moments you wish came with a meme soundboard to highlight the red flags instantly.
JibuFutaThis warning is super clear. Adding a
JibuFutameme soundboard could instantly highlight the key points and make it more engaging.
Great for adding quick laughs and interactive audio using a meme soundboard format.
JibuFutaAsante kwa kushiriki tahadhari hii kuhusu matatizo ya utapeli. Ni muhimu kwa wengi kuelewa jinsi ya kujilinda mtandaoni na kuepuka hasara.
JibuFutaPia napenda kushiriki tovuti yangu ndogo ambayo inaweza kuwa ya kufurahisha na ya msaada pia: https://myinstants.app
Asante tena kwa taarifa!
Reading this, I feel seriously concerned public warnings like this matter. Scams spread fast, just like trending sounds online. I stay alert everywhere, from real life to the internet. If you want safe fun instead, explore soundboard and download trending sounds at SoundBoardW.net.
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
JibuFutaSoundboard Unblock brings together thousands of sound buttons, making it the ultimate unblocked meme soundboard online.
JibuFutaGreat resource! for anyone who wants to check ZIP codes online in Dallas! This complete list makes it easy to find the right area codes whether you’re filling out forms, planning travel, or sending mail. The organized format and clear layout make it simple to navigate. Thanks for compiling such useful info!
JibuFuta